Job Description:
NAFASI ZA KAZI ZA KUJITOLEA.
Wanahitajika vijana hamsini ( 50 ) wa kitanzania kwa ajili ya kufanya kazi ya kukusanya taarifa za watu wenye matatizo ya vitambi, unene na uzito kwenye mradi wa masuala ya Tiba Lishe unao ratibiwa na kituo cha utafiti wa masuala ya tiba lishe.
SIFA ZA WAOMBAJI
1.Elimu kidato cha nne, sita na kuendelea.
2.Mkaazi wa Dar - Es salaam.
3.Maridadi na mwenye uwezo wa kujielezea.
MAJUKUMU : Kukusanya taarifa za watu MIA MOJA ( 100 ) wenye matatizo ya vitambi, unene na uzito kupita kiasi waliopo katika kata unayoishi au sehemu yoyote ile unayo ifahamu.
MALIPO : Shilingi ELFU TANO kwa kila mtu ambaye utakusanya taarifa zake.
Tuma maombi yako kwenda : neemarecruitmentagency@gmail.com
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 05 OKTOBA 2013.
Kazi kuanza tarehe 07 OKTOBA 2013.
How to Apply:
Tuma maombi yako kwenda : neemarecruitmentagency@gmail.com
Application Deadline: 05th Oct 2013
No comments:
Post a Comment