Job Title: Accountant
Job Description:
DATA POINT COLLEGE
Tunakaribisha maombi ya kazi kwa nafasi zifuatazo.
Mhasibu
Qulification:
Mtu yeyote mwenye Degree ya Uhasibu
Tuma maombi yako kwa njia ya email:dpc201283@yahoo.com ukiambatanisha CV yako.
How to Apply:
Tuma maombi yako kwa njia ya email:dpc201283@yahoo.com
Application Deadline: 21st Sept 2013
No comments:
Post a Comment